Basic Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences
Muda wa Kozi ni Miaka Miwili
Sifa: Mwanafunzi mwenye vigezo wa kusoma kozi hii ya miaka miwili lazima awe amehitimu elimu ya Sekondari (Kidato cha 4 nchini Tanzania au awe na matokeo yaliyo tafsiriwa na NECTA ikiwa alisoma nje ya Tanzania)
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four passes in non-religious subject including ‘D’ passes in Chemistry and Biology.
Fanya Maombi Moja kwa Moja Chuoni
Pakua fomu ya Maombi au fika chuoni GSMC SINGIDA. Chuo Kinapatikana katika Manispaa ya Singida kata ya Mangua Njuki, kilomita 8 kutoka katikati mwa mji.