GSMC

gold sealmedical college (gsmc) banner (2)

Content Translator

Idara

Viunga vya Haraka

CHUO CHA AFYA GOLD SEAL KINAPENDA KUWAJULISHA DIRISHA LA MAOMBI LA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022 LIMEFUNGULIWA

FANYA MAOMBI KWA KOZI ZIFUATAZO

ASTASHAHADA NA STASHAHADA

1. Sayansi ya Dawa

2.Clinical Medicine

Njia ya Maombi:

Pakua Fomu ya Maombi Ijaze,kisha itume kupitia barua pepe (goldsealcollege@gmail.com), au Kwa kufika chuoni kwetu GSMC - Singida, kwa Whatsapp number (+255 759 311 827) au fanya maombi kwenye website ya chuo kwa kubofya kitufe FANYA MAOMBI SASA

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa maswali yoyote

Karibu

Viambatisho: