Chuo kiko kwenye Eneo lenye mazingira mazuri, ambalo lina zaidi ya hekari 20, lenyu upatikanaji wa rasilimali za maji za bei nafuu. Tuna timu yenye upendo, yenye nguvu kuhakikisha rasilimali zinapatikana kwa shughuli yoyote ya upanuzi. Kwa upande wa ukuzaji wa masomo, tunatarajia katika mwaka mmoja ujao kujumuisha diploma zote katika afya na katika miaka mitano ijayo itaanza kutoa digrii katika sekta kiafya.