GSMC

gold sealmedical college (gsmc) banner (2)

Content Translator

Idara

Viunga vya Haraka

Maono

Kuwa chuo cha binafsi kinachoongoza na Kuaminika kwa kutoa Mafunzo ya Afya yenye Ubora kwa Afya Bora.

Dhamira

Kutoa mafunzo bora kwa wataalam wa Afya wenye vigezo vinavyokubalika, nidhamu ya kazi na walio tayari kuhudumia jamii katika mazingira yeyote.